WASHIRIKI WA MR & MISS CBE 2014 WAFANYIWA USAHILI
Kamati ya MR & MISS CBE 2014 wamefanya usahili kwa washiriki. Leo wanaanza mazoezi lasimi katika ukumbi wa Shabiby uliopo TOT kuanzia saa kumi kamili.
Aziz
Rebeca
Bikumbayi
Peter
Kamati ikitoa maelekezo kwa washiriki hawa
Kundi la washiriki kwa pamoja wakiwa na MR & MISS CBE watakao wavalisha mataji yao.
No comments:
Post a Comment