Thursday, 6 March 2014

DAYNA NYANGE KUWASHA MOTO JUMAMOSI HII NDANI YA MATEI LOUNGE & CAR WASH DODOMA, BUREEEEE..................

DAYNA NYANGE NI MOJA YA MASTAA WATAKAOKUWEPO DODOMA WIKI HII KATIKA KIWANJA CHA BURUDANI  KINACHOFANYA VIZURI KATIKA MKOA WA DODOMA,
NAMAANISHA MATEI LOUNGE & CAR WASH AMBAYO IPO MAENEO YA AREA D MJINI DODOMA, KATIKA MJI WA DODOMA NI SEHEMU YA BURUDANI INAYO HAPPEN KWA SASA, NI MAHALI AMBAPO UKIFIKA UNAKUTANA NA VIONGOZI MBALI MBALI WA NCHI HII PAMOJA NA MASTAA WA BONGO FLEVA, BONGO MOVIE NA WENGINE KIBAO,
 KATIKA WIKI HII MIMI NIKIWA KAMA MKURUGENZI WA MASOKO TUMEWAANDALIA BURUDANI YA KUTOSHA AMBAPO SIKU YA JUMAMOSI NI SIKU RASMI AMBAYO TUNAKUTANA PALE KWA AJILI YA MAPUMZIKO YA MISHE MISHE YA WIKI NZIMA, AMBAPO TUTACHOMA NYAMA KWA PAMOJA NA PIA UTAOSHEWA GARI LAKO PALE NA WAREMBO KIBAO,
KARIBU MATEI LOUNGE & CAR WASH

No comments:

Post a Comment