Tuesday, 4 March 2014



MR UWAZI AZIDI KUMWAGA ZAWADI KWA WASOMAJI WAKE DAR

Mr. Uwazi akitoa zawadi kwa mmoja wa wasomji wa Gazeti la Uwazi eneo la Bunju B, Dar.
Mr. Uwazi akiendelea kumwaga zawadi kwa wadau mbalimbali wa Gazeti la Uwazi.…
Mr. Uwazi akitoa zawadi kwa mmoja wa wasomji wa Gazeti la Uwazi eneo la Bunju B, Dar.
Mr. Uwazi akiendelea kumwaga zawadi kwa wadau mbalimbali wa Gazeti la Uwazi.
Wasomaji wa Uwazi wakipokea zawadi mbalimbali kutoka kwa Mr. Uwazi.
Wasomaji wakiwa katika picha ya pamoja na Mr. Uwazi.
Mr. Uwazi akiendelea kumimina zawadi kwa wasomaji wake katika eneo la Bunju A, Kinondoni jijini Dar.
Mwandishi wa Gazeti la Uwazi, Jelard Lucas (kulia) akimpongeza msomaji wa Uwazi mara baada ya kujinyakulia zawadi.
Zawadi zikizidi kumiminika.
Mashabiki wa Gazeti la Uwazi wakifurahia gazeti hilo na zawadi walizopewa.
KWA mara nyingine tena, leo Mr. Uwazi alikuwa maeneo ya Bunju Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Lengo kuu ikiwa ni kurudisha mchango wa wasomaji wa gazeti maridadi kabisa la Uwazi kwa kutoa
zawadi kwa wasomaji wake. Zoezi hilo lilifanyika mapema mchana wa leo.

(PICHA ZOTE NA HARUNI SANCHAWA NA JELARD LUCAS/GPL)

No comments:

Post a Comment