| Aliyekuwa mpenzi wa rapper Lord Eyez, mwanamuziki Rehema Chalamila aka Ray C amezungumzia kuhusu sakata la wizi linalomkabili rapper huyo ambaye ni member wa group la Nako 2 Nako Soldiers. Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Instagram Ray C amefunguka kama ifuatavyo: |
No comments:
Post a Comment