Thursday, 6 March 2014

ADHA YA MVUA INAVYOWATESA WAKAZI WA JIJINI DAR

Maga
Abiria wakisubiri usafiri kituoni.
MVUA iliyonyesha kuwanzia juzi, imewafanya wakazi wa jiji la Dar es Salaam kuonja joto ya jiwe kutokana na usafiri kuwa mgumu huku wengine wakitumia usafiri wa bodaboda bila kujali kulowana ilimradi wafike wanakotaka kwenda.
Kamera yetu ilipita maeneo ya Mnazi Mmoja na kushuhudia adha hiyo ambayo inaifikisha kwa wateja wake waione pia.

 

 

No comments:

Post a Comment