MLELA: AFUNGUKA NA KUDAI KUWA ULEZI NDIO UMENIFICHA
Na Aggrey CharlesBAADA ya kukaa kimya kwa muda mrefu, staa wa filamu Bongo, Yusuf Mlela amefunguka kuwa ukimya huo umesababishwa na malezi ya mwanaye.
Akichonga na gazeti hili, Mlela alisema anahitaji muda mwingi kukaa na mwanaye Mwantumu kama baba hivyo majukumu yamekuwa mengi, anawaomba mashabiki wake kuelewa kwani ‘soon’ atakuja kivingine.
No comments:
Post a Comment