PICHA-NYOTA MPYA WA HOLLYWOOD,MKENYA LUPITA NYONG'O AKIWA NA MAMA MZAZI
| Ilikuwa ni kwenye red carpet session ya .Tuzo za filamu. BAFTAs(2014) ambapo hata hivyo hakubahatika kufanya vizuri,kama alivyofanya kwenye tuzo kubwa z a Oscar,kupitia movie ya 12 years a slave. |
No comments:
Post a Comment