Wednesday, 5 March 2014

TAZAMA BOMOA BOMOA KWENYE KITUO CHA MABASI, FOLENI UBUNGO


    Mafundi wakivunja vibanda vya kukatia tiketi eneo la Ubungo Dar.

Foleni ya magari Ubungo inayosababishwa na ujenzi mpya wa Barabara ya Morogoro.
Bodaboda hawako nyuma kushawishi abiria washuke ndani ya daladala ili wapande kwenye ‘mausafiri yao

No comments:

Post a Comment