Thursday, 6 March 2014

WAKRISTO WALIVYOANZA MFUNGO WA KWARESMA KWA KUPAKWA MAJIVU

Padri Joseph Masenge, akimpaka majivu kwenye paji la uso Richard Kombole, ikiwa ni ishara ya kuanza kipindi cha Kwaresima katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Joseph,  Dar es Salaam leo. (Picha na blog ya mwaibale)
Padri Joseph Masenge, akimpaka majivu kwenye paji la uso muumini mwingine wa kanisa hilo.(picha na blog ya mwaibale)
Mtawa Alphonana Daniel, akimpaka majivu muumini wa kanisa hilo
Mtawa Alphonana Daniel, akimpaka majivu, Irene Chumi
Waumini wa Kanisa hilo wakiwa wamejipanga foleni wakisubiri kupakwa majivu.
Padri Joseph Masenge,akiwapaka majivu waumini hao.
Padri Joseph Masenge, akimpaka majivu Michael Emanuel
Waumini wa kanisa hilo wakiwa nje wakisubiri 
kupakwa majivu

No comments:

Post a Comment