KAMPENI ya ugonjwa wa Homa ya Ini unaosambazwa na Virusi vya Hepatitis B itazinduliwa rasmi keshokutwa Ijumaa, Machi 7, mwaka huu katika Hospitali ya Mkoa wa Kitabibu Ilala – Amana, Dar.
Akizungumza na Risasi Mchanganyiko, Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Global Publishers ambayo ndiyo inayoendesha kampeni hiyo, Eric Shigongo alisema, kama kampuni wameguswa na ugonjwa huo hivyo imedhamiria kupambana kwa nguvu zote kuuzuia.
“Ni lazima tuungane kama taifa, huu ugonjwa ni hatari sana, sisi Global Publishers tumeanza, kinachofaa ni wewe na yule kujitokeza ili tuishinde hii vita pamoja. Ijumaa tutazindua rasmi,” alisema Shigongo na…

“Ni lazima tuungane kama taifa, huu ugonjwa ni hatari sana, sisi Global Publishers tumeanza, kinachofaa ni wewe na yule kujitokeza ili tuishinde hii vita pamoja. Ijumaa tutazindua rasmi,” alisema Shigongo na kuongeza:
“Ndugu zetu wengi sana wanapoteza maisha kila siku kutokana na ugonjwa huu wa Homa ya Ini, tiba yake hakuna lakini chanjo ipo, kwa hiyo sisi Global Publishers tumeamua kuchukua jukumu la kuhakikisha Hepatitis B unatokomezwa.
“Naomba watu wajitokeze wengi ili tuizindue kwa kishindo kampeni hii. Lazima tuhakikishe tunapigania maisha ya Watanzania ili wasipate ugonjwa huu hatari ambao hauna tiba lakini uzuri ni kwamba una kinga.”
Alisema kampeni hiyo itaendeshwa kwa miezi minne mfululizo kabla ya kufikia kilele chake Julai 28, mwaka huu.
Kampeni hii inaendeshwa na Kampuni ya Global Publishers kwa kushirikiana na Hospitali ya Amana, Megra Clinic, Sanofi Pasteur, Damu Salama na SD Africa.

No comments:
Post a Comment