Katika hali isiyokuwa ya kawaida mwanamke mmoja jina halijafahamika anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 20-25 akiwa na mumewe, wakitokea wilayani Chunya mkoani Mbeya wakielekea wilayani Mbozi amejifungulia kwenye gari aina ya Coaster jana lenye namba T 653 CTC. Gari hiyo ilikuwa ikielekea Tunduma ambapo imeelezwa kuwa Mwanamke huyo alijifungua mtoto wa kiume. |
No comments:
Post a Comment