Usikose kampeni ya #TANZANIA #NAIAMINIA kesho kuanzia saa nane kamili mchana itakayofanyika katika uwanja wa Jamhuri,Dodoma ambapo wasanii zaidi ya 50 watapafomu nyimbo ya Tanzania @50,mgeni rasmi ni rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Dr.Jakaya Kikwete.

No comments:
Post a Comment