Picha 20 za show ya Kiba Square ndani ya Maisha Club.
Show ilitanguliwa na burudani kadhaa kutoka kwa chipukizi na ulipofika muda wa Ally Kiba na Abdul Kiba kuimba kila mtu ukumbini alikua na furaha,kikubwa wengi walitamani kumuona Ally kiba ambae hajaonekana kwenye majukwaa siku nyingi.
Walitumia zaidi ya saa moja kuperfoam nyimbo zao kwa pamoja na kisha wakaautambulisha wimbo wao mpya unaoitwa Pita Mbele ambao wanategemea kuutoa siku chache zijazo.
Hizi ni baadhi ya picha hizo.
No comments:
Post a Comment