Sunday, 15 June 2014

Ommy Dimpoz na WEUSI juu ya beat moja?

 

Screen Shot 2014-04-11 at 12.53.51 AMKutokana na ile ishu ya wizi wa vitu mbalimbali kwenye gari la Ommy Dimpoz ambao ‘inadaiwa’ ulifanywa na rapper kutoka WEUSI (Lord eyez) labda ulihisi kunaweza kusiwe na uhusiano mzuri kati ya Ommy Dimpoz na WEUSI.
Nakumbuka siku kadhaa baadae Nikki wa II aliongea na millardayo.com na kuwaonya wale mashabiki wa Arusha waliosambaza comments kwenye baadhi ya post za mitandao mbalimbali, kuacha kusambaza vitisho dhidi ya Ommy Dimpoz kutokana na ripoti aliyoitoa kuhusu hilo tukio.
Good news kwenye usiku wa April 10 2014 Ommy Dimpoz amepost picha akiwa studio na WEUSI ambao ni G Nako na Nikki wa II na kuandika haya maneno yafuatayo hapa chini ambayo yanaonyesha uhusiano wao uko poa kwa sasa.
Screen Shot 2014-04-11 at 12.54.06 AM

No comments:

Post a Comment