Picha 8 za warembo wanaoshiriki shindano la Miss Iringa 2014.
Hatimaye kinyang’anyiro cha kumsaka Redds Miss Iringa kinatarajia kufanyika Juni 20 mwaka huu baada ya aliyekuwa mratibu wa kwanza Mohamed Mcholeka kutoweka katika mazingira ya kutatanisha na kushindwa kufanyika Juni 6 kama yalivyopangwa.
Shindano la Redds Miss Iringa limekuwa chachu ya ajira kwa mabinti wengi kwa kuweza kutangaza vipaji vya washiriki wanaojitokeza kushiriki kila mwaka.
Hadi sasa warembo 12 wamejitokeza kushiriki shindano hilo na
wanaendelea na mazoezi katika ukumbi wa Hotel ya Gentle hill kwa mujibu
wa Ripota wa nguvu Deniss Mlowe.
No comments:
Post a Comment